5.00
(3 Ratings)

Jinsi ya Kutengeneza Cake ya Tende

Categories: Cake bakery
Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

About Course

TENDE NI TUNDA linalopatikana sana katika miji ya Sahara japokuwa tabia nchi inavyoendelea kubadilika linapatikana duniani kote.
Tende ziko za aina mbili kavu na mbichi. Tende ina sukari kiwango cha asilimia 60 – 70 na pale inapopigwa na jua hupunguza uzito wa asilimia 35.

Tende ni tunda la zamani sana karibia miaka elfu 5000 iliyopita. Tende imeonekana katika miji ya sahara ikiwamo Misri ikiwa imeonekana mwanzo katika miji ya Persia au Mesopatamia.
Faida za kula tende.

Tende ni dawa nzuri inayosaidia usagaji wa chakula tumboni, huongeza nguvu ukila tende na maziwa ni vizuri sana kwani huongezeka mwendo wa damu, kusafisha damu na pia ni nzuri ukimpa mtoto anayekua kuanzia umri wa miaka 7 na kuendelea.

Usumbufu wa tumbo, hii hutokana na vijidudu tofauti kwa mfano minyoo huchangia tumbo kuuma sana pia vidudu vengine (bacteria). Tende huuwa vijidudu vyote vinavyosababisha kuumwa na tumbo. Asubuhi kabla hujala kitu chochote kila siku kula kokwa moja la tende hii husaidia kuua wadudu watumbo ambao wanasababisha harufu mbaya kinywani.

Hutibu maradhi ya moyo. Loweka tende usiku mzima katika maji na unywe maji yake asubuhi huepusha maradhi ya mshtuko wa moyo mara kwa mara na fanya hivo mara mbili kwa wiki.

Pamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki, hivyo kuwa na faida nyingi kiafya.

Show More

What Will You Learn?

  • Kutengeneza cake ya tende

Course Content

Jinsi ya kutengeneza cake ya tende

  • maandalizi ya kuanza kutengeneza cake
    01:24

Student Ratings & Reviews

5.0
Total 3 Ratings
5
3 Ratings
4
0 Rating
3
0 Rating
2
0 Rating
1
0 Rating
The course is awesome and the cake turned out very yummy and soft thanks for your kind heart to teacher us for free in this course God bless you.
rodgence kagaba
8 months ago
Thanks for sharing skills
TA
9 months ago
very nice, i enjoyed learning in this class
Shopping Cart

Want to receive push notifications for all major on-site activities?